Orodha ya Code Za Mitandao ya Simu Tanzania

Orodha ya Code Za Mitandao ya Simu Tanzania, Orodha ya code za mitandao ya simu tanzania,Code za Mitandao ya Simu Tanzania ,Code za mitandao ya simu duniani

 0
Orodha ya Code Za Mitandao ya Simu Tanzania

Kutokana na maendeleo ya kiulimwengu swala la mawasiliano limekua likizidi kuboreshwa kila kukicha, ikumbukwe kua hapo awali mawasiliano yalikua yakifanywa kwa njia  ya barua na kumfikia mlengwa kwa muda mlefu, lakini mapinduzi ya teknolojia yameweza kurahisisha sekta ya mawasiliano hadi kufikia kuwepo kwa mawasiliano kwa njia ya simu. Simu ndio njia pekee ya kupasha habari kwa haraka zaidi.

Orodha ya Code Za Mitandao ya Simu Tanzania

Kila nchi inautambulisho wake maalumu wa code za simu. Tanzania kama ilivyokua nchi nyingine Duniani pia inautambulisho wa code za simu ambazo hutambulisha umiliki wa simu ni kutoka Tanzania. Lakini pia kila kampuni ya mawasiliano iliyoko Tanzania ina utambulisho wake maalumu unaoitofautisha kampuni hiyo ya simu na mitandao mingine ya simu.

Aina ya itandao ya Simu Tanzania

Tanzania ni nchi endelevu katika swala la teknolojia kama yalivyokua mataifa mengine. Kwenye ulimwengu wa mawasiliano Tanzania pia imeshuhudia kukua kwake kwa kua na idadi kubwa ya makampuni yaa simu. Hapa chini ni kampuni za mawasiliano ya simu zinazopatikana Tanzania.

1. Tigo/Yasi

2. Vodacom

3. Airtel

4. Halotel

5. TTCL

6. Zantel

Muundo wa Namba za Simu Tanzania

Kama ilivyo kwa mataifa mengine Tanzania pia hufuata utaratibu maalumu kwenye muundo wa namba za mawasiliano ya simu za mkononi. Muundo harisi wa namba za simu za Tanzania hugawanyika katika makundi matatu (3)

1. Code ya Taifa Huundwa na tarakimu 3 ikianza na alama ya + (+255)

2. Nambali maalumu za kamuni husika ya simu, Huundwa na kwa tarakimu 3, kutokana na code za mtandao husika, Mfano mfano Vodacom 076

3. Nmabali za Mtumiaji hizi, huundwa na Tarakimu 7, Tarakimu hizi huwa ni tarakimu pekee kwa kila mtumiaji hazifanani kutoka mtumiaji mmoja kwenda mwingine ndani ya mtandato mmoja wa simu

Hivyo basi kulingana na mgawanyo huo wa namba za simu za mitandao Tanzania muundo wa namba hizo huundwa kwa jimla ya Taraikimu 12 amabozo ni

  • Code ya Taifa + Code ya Mtandao husika + Namba pekee ya mtumiaji (Mfano – +255765 563 762)

Njinsi ya Upigaji simu Tanzania

Kwa mtumiaji wa simu aliyeko Tanzania ili apige simu kwa mtu mwingine ndani ya Tanzania anaweza kutumia tu code ya mtandao husika ikianza na tarakimu 0 kufuatiwa na namba pekee za mtumiaji (Mfano 0756 243 252) lakini pia anaweza anza na muundo wa code ya Taifa ( Mfano – +255765 563 762)

Kwa simu za kutoka nje ya nchi mpigaji simu itamlazimu kufuata muundo wa kuanza na code ya Nchi kisha code ya mtandao husika wa simu na kumalizia na namba pekee ya mtumiaji wa simu (Mfano – +255765 563 762 )

Code Za Mitandao ya Simu Tanzani

1. Code Za Mtandano wa Vodacom Tanzania (MNC)

Mtandao wa simu wa Vodacom Unacode kuu nne ambazo ni

  • 0746
  • 0745
  • 0754
  • 0755

2. Code Za Mtandano wa Tigo Tanzania (MNC)

Mtandao wa simu wa Tigo/Yas unajumla ya code 6, amabzo ni

  • 0712
  • 0713
  • 0714
  • 0715
  • 0716
  • 0652

3. Code Za Mtandano wa Airtel Tanzania (MNC)

Kwa upande wa mtandao wa simu wa Airtel unajumla ya code 6, amabazo ni

  • 0784
  • 0785
  • 0786
  • 0787
  • 0788
  • 0688

4. Code Za Mtandano wa Halotel Tanzania (MNC)

Halotel ni mtandao mpya wa simu ukilinganisha mitandao ya simu kama vile Tigo, airtel na Vodacom, mtandao huu wa Halotel unajumla ya code 3, ambazo ni

  • 0768
  • 0769
  • 0620

5. Code Za Mtandano wa Zantel (MNC)

Kwa mtandao wa Zazntel ambayo kwa sasa imeingia ushirika na mtandao wa Tigo/Yas ina code kuu moja ambayo ni

  • 077