Kuhusu sisi

Karibu kwenye Tovuti yetu ya  Bongo Wikis, Tovuti kubwa zaidi na inayoaminika zaidi kuwa na maarifa zaidi Tanzania!

Tumejitolea kuwaunganisha watu na maelezo wanayohitaji, na hivyo kurahisisha kupatamaarifa, huduma na elimu kote nchini kwa urahisi zaidi kuliko hapo awali. Iwe unatafuta huduma za ndani, wataalamu,elimu, historia, Tekinolojia, michezo au biashara, mfumo wetu umeundwa ili kukupa taarifa sahihi na zilizosasishwa popote ulipo.

Tuko hapa kuleta mapinduzi katika namna Watanzania wanavyopata taarifa mtandaoni. Kama chanzo cha maarifa na taarifa kikubwa nchini, tunalenga kuwawezesha watu binafsi, wanafunzi, walimu,na biashara kwa kutoa maeezo ya maada au maswali mbalimbali kwa haraka, sahihi na ya kuaminika yanayoendana na kukidhi mahitaji yako.