Nafasi Za Kazi Za Muda kutoka kampuni ya Kollect Bid Mart Limited - Februari 2025

TANGAZO NAFASI ZA KAZI ZA MUDA – KOLLECT BID MART LIMITED
Nafasi mbili za kazi zinapatikana
1. Afisa Makusanyo Madeni (Part-time Dept Collection Officer – Nafasi 2)
· Majukumu: Kukusanya Madeni, kufuatilia ahadi za malipo, kuwadai wateja, kutoa ripoti za siku, wiki, na mwezi, na majukumu mengine.
· Sifa: Awe mwaminifu, na uzoefu wa kufanya kazi katika makapuni ya mikopo mtandao, mstaarabu, na awe na Diploma au Degree.
· Ktuo cha kazi; Dar es salaam – Kinondoni.
· Malipo ; Malipo ni kwa kamisheni
· Namna ya kuomba ; Tuma Barua ya maombi pamoja na CV yako kwenda [email protected]
· MWISHO WA MAOMBI – 27/02/2025.