Fomu ya Uchunguzi wa Afya (PDF)

 0
Fomu ya Uchunguzi wa Afya (PDF)

Fomu ya Uchunguzi wa Afya kwa Waajiriwa Wapya Ajira Zimamoto, PDF download MEDICAL EXAMINATION FORM FOR RECRUITS (To be completed by Certified Medical Officer).

Kuwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaloongoza kwa weledi na utoaji huduma bora Afrika Mashariki ifikapo 2025.

Dhamira Yetu

Tunajitahidi kuhifadhi maisha na mali, kukuza usalama wa umma na kuitikia wito wote wa usaidizi wa dharura ndani ya jumuiya kwa kufanya kazi kwa ufanisi na kwa mujibu wa miongozo ya sera za kitaifa na viwango vya kimataifa.

Madhumuni ya Kuzuia na kupunguza viwango vya vifo, majeraha kwa watu, na uharibifu wa mali unaotokana na moto, mafuriko, tetemeko la ardhi, ajali za barabarani na majanga mengine.

Wasiliana Nasi

Email: [email protected]

Simu: +255-26-2320043

Address: 1 Zimamoto Street , P.O.BOX 1509, 41102 VIWANDANI – DODOMA

PDF Fomu ya Uchunguzi wa Afya

Files