4 Nafasi za kazi Mpya katika kiwanda cha Kilombero Sugar Co. Ltd -Februari 2025

 1
4 Nafasi za kazi Mpya katika kiwanda cha Kilombero Sugar Co. Ltd  -Februari 2025

Kilombero Sugar Company Limited (KSCL), inayojulikana kwa jina la "Bwana Sukari", ni mzalishaji mkubwa wa sukari nchini Tanzania. Kampuni hii ni sehemu ya Illovo Sugar Africa, moja ya makampuni makubwa ya sukari barani Afrika, na inafanya kazi katika nchi sita za Afrika, ikiwemo Tanzania.

Kwa sasa, KSCL inatangaza nafasi za ajira mbalimbali kwa ajili ya timu yake. Hizi ni baadhi ya nafasi zinazopatikana:

Kampuni hiyo inafanya shughuli zake katika Bonde la Kilombero, ambapo inamiliki mashamba makubwa ya kilimo na viwanda vya sukari. Inazalisha tani 126,000 za sukari kila mwaka, ikishirikiana na wakulima 8,000 wanaosambaza miwa.

Kwa maelezo zaidi kuhusu sifa za kazi na jinsi ya kutuma maombi, tafadhali tembelea tovuti rasmi ya Kilombero Sugar Company.