12 Nafasi Za Kazi katika kiwanda cha Kilombero Sugar Co. Ltd – Februari 2025
Kampuni hii iko Kidatu, Bonde la Kilombero, ikiendesha mashamba mawili makubwa ya miwa na viwanda viwili vya sukari: Msolwa na Ruembe, vilivyopo katika wilaya za Kilombero na Kilosa, mkoa wa Morogoro.

NAFASI ZA KAZI KILOMBERO SUGAR CO. LTD – FEBRUARI 2025
Kilombero Sugar Co. Ltd inakaribisha maombi ya nafasi 12 za ajira kwa waombaji wenye sifa kujiunga na timu yao.
Nafasi Zinazopatikana:
???? Senior Maintenance Worker Electrical—Nafasi 1
???? Farm Supervisor
???? Irrigation Team Lead
???? Heavy Truck Driver—Nafasi 2
???? Heavy Equipment & Field Service Foreman—Nafasi 1
???? Business Systems & Planning Analyst—Nafasi 1
???? Crop Manager—Nafasi 1
???? GIS Technician—Nafasi 1
???? Agriculture Optimisation Manager—Nafasi 1
???? Agronomist (Production) – Nafasi 1
???? Teacher Aid—Nafasi 1
Kuhusu Kilombero Sugar Co. Ltd
Kampuni hii iko Kidatu, Bonde la Kilombero, ikiendesha mashamba mawili makubwa ya miwa na viwanda viwili vya sukari: Msolwa na Ruembe, vilivyopo katika wilaya za Kilombero na Kilosa, mkoa wa Morogoro.
✅ Kilombero Sugar Co. Ltd ni mzalishaji mkubwa wa sukari nchini Tanzania, ikimiliki hekari 26,000 za mashamba ya miwa – hekari 10,000 za kampuni na hekari 16,000 kutoka kwa wakulima wadogo wa Kilombero Growers.
✅ Inazalisha takribani 126,000 tani za sukari kwa mwaka na kuchakata miwa tani 600,000 kutoka kwa wakulima wadogo na mashamba yake.
✅ Asilimia 45% ya miwa inayosagwa inatoka kwa wakulima wadogo, huku asilimia 55% ikitoka kwenye mashamba ya kampuni.
✅ Zaidi ya biashara 200 zimeanzishwa katika Bonde la Kilombero kutokana na mnyororo wa ugavi wa kampuni hii.